Star wa bongo fleva Ali Kiba amethibitisha kuwa collabo na mkongo
Fally Ipupa imesharekodiwa na iko tayari ila itatoka kama Surprise kwa
mashabiki wake.
Kwenye mahojiano haya Kiba pia amethibitisha kuwa collabi na Davido imefikia pazuri na muda wowote utaisikia kwenye radio yako.
No comments:
Post a Comment