Ishu
ya imani ni ya mtu binafsi na kila mtu ana uwezo wa kuamini kile
anachoona ni sahihi kwa mtazamo wake na mtu anapotokea kumuamini
kiongozi wake wa dini kwa asilimia kubwa hutekeleza yale
anayofundishwa.Sasa hii ya leo inamuhusu mhubiri maarufu wa dini India
ambaye ana wafuasi zaidi ya milioni hamsini duniani Gurmeet Ram Rahim
Singh anakabiliwa na mashtaka ya kusababisha majeruhi kwa tuhuma za
kuwashawishi wafuasi wake 400 kukata sehemu zao za siri ili waweze kuwa
karibu na Mungu
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI YA TUKIO HILO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI YA TUKIO HILO
No comments:
Post a Comment