23 July 2015

EDWARD LOWASSA NA HATIMA YA CCM

KWA sasa hakuna asiyejua nani aliyeibuka mshindi wa mchuano wa ndani ya CCM wa kumtafuta mshika bendera wake katika uchaguzi wa Urais unaotazamiwa kufanywa Oktoba.
aliyeshinda ni Dk. John Magufuli. Lakini tukiutathmini mchakato mzima wa mchuano huo, tangu ulipoanza hadi ulipomalizika, ni taabu kutoamini kwamba Magufuli siye aliyeshinda.
Mshindi halisi hakuwa binadamu bali ulikuwa usanii wa kisiasa. Huu ni usanii ambao nchini Tanzania ni CCM peke yake, hadi sasa, iliyoonyesha miujiza ya kuweza kuufanya huku ikiwaziba macho wanachama wake na wananchi kwa jumla.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname