23 July 2015

BREEAKING NEEWZZZ : AJALI YA BASI LA SIMIYU EXPRESS YAUWA WATU WENGI BAADA YA KUACHA NJIA NA KUGONGA MBUYU HUKO DODOMA, MAJERUHI PIA NI WENGI SANA

Basi la Simiyu Express likiwa eneo la tukio 
Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema basi la Simiyu Express Lililokuwa likitokea mkoani Simiyu kuelekea jijini D ar es salaam limeacha njia mara
baada ya kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.

Ajali hiyo ni mbaya sana Imetokea  Dodoma.  

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname