Ray C amedai kuwa hafanyi utani kufuatia tangazo lake la kutafuta mume wa kumuoa.
- “Hahaaha yaani leo nimeipata fresh, simu na msg ni nyingi sana wengi
wanadhani natania!Niko serious jamani!endeleeni na maombi huwezi jua u
could be the lucky one,” ameandika kwenye Instagram.
- “Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha
michepuko ni mingi kwenye ndoa ila najua nikimpata wangu
tutarekebibishana kuhusu hilo najua tutaenda sawa tu.”
- “Mpaka nimeshapata [maombi] mia tano leo tu kwahiyo naona muda si mrefu ntatangaza harusi ingawa wako kwenye mchujo,” amefafanua
No comments:
Post a Comment