Picha,Diamond Platnumz, meneja wake, wakiwa na Neyo,baada ya kushinda tuzo ziko hapa.
Kabla ya Tuzo za Mama kufanyika Diamond Platnumz alipata nafasi ya
kukutana na wasanii tofauti kama Neyo kutoka Marekani, D’banj wa Nigeria
na P Square.Pia meneja wake wote walikuwepo eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment