23 July 2015

NUH MZIWANDA MZEE WA GANDA LA NDIZI AOMBA MASHABIKI WAKE MSAMAHA

Samahani sana mashabiki na @shilolekiuno kwa kuvujisha huu wimbo bila idhini yake tuliorekodi mda mimi na yeye na ndio sababu kubwa yeye kukasirika mpaka malumbano yooote yaliyotokea'twende sawa na tupendane jamani bila
makwaruzano'mana tuna sababu bilioni za kujiamini na kupendana pia natangaza rasmi wimbo  mpya kabisa wa Nuh Mziwanda na Shishi wimbo mpya kabisa ‪#‎GandaLaNdizi‬ unaweza usikiliza kwa kubonyeza link hapo kwenye Bio yangu ya Blue'nawapenda sana 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname