Wakati
Joto la Mbio la Urais Tanzania Linaendelea , Wakuu wa Vyama vya
Upinzani Wanao unda kundi la Ukawa Wamemwambia Lowassa Huko alipo sasa
inatosha amedhihakiwa vya kutosha na Kwamba wanamkaribisha Ukawa kwa
mikono miwili kama walivyofanya wengine wakiwemo Mh Limbeli na Mh Ester
Bulaya pamoja na Wale Madiwani wa Monduli....
No comments:
Post a Comment