Ndikumana
mume wa ndoa wa msanii wa bongo movie Irene Uwoya,Mchezaji mpira wa
klabu mbali mbali zikiwemo hadi za nchini Uingereza Hivi sasa
amesajiliwa na Stand United ya mkoani Shinyanga timu iliyopanda daraja
kuingia ligi kuu Tanzania msimu huu.
No comments:
Post a Comment