Mange Kimambi mgonjwa wa akili
Na Issa Rivaldo
Psychopathology ni somo la sayansi
kuhusiana na matatizo ya akili (mental disorder), linalokusanya matatizo yote
ya kiakili ambayo hujumuisha migogoro ya kisaikolojia, baiolojia na mengine
mengi, ikiwemo sababu mbalimbali za kijamii.
Psychopathology neno hili lina asili ya
muunganiko wa maneno ya Kigiriki, psyche (nafsi), pathos (ugonjwa), na ology
(somo). Maana ya moja kwa moja ya Psychopathology ni asili ya matatizo ya
akili, jinsi yanavyokua na dalili ambazo zinaweza kujionesha kwa anayeugua.
Ndani ya Psychopathology kuna makundi nane
ya kutambua matatizo ya akili ambayo ni Major Depressive Disorder (kukosa mudi,
kutokuwa na nguvu au kutamani kujiua nk), Bipolar Disorder (kuwa na mizuka
mingi), Dysthymia (kukosa mudi), na Schizophrenia (kupingana na uhalisia, kuwa
na mitazamo hasi na kuzungumza bila mpangilio)
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment