09 July 2015

KILICHOJIRI KWENYE KIKAO CHA DODOMA , RAIS KIKWETE ANENA MAZITO LIVE

Siasa zinapewa nafasi kubwa sana sasa hivi, Tanzania inaingia kwenyeUchaguzi Mkuu Mwezi October 2015… Tayari wapo waliotangaza Kugombea nafasi mbalimbali lakini macho ya wengi yako kwenye nafasi ya Urais, mpaka sasa kuna majina zaidi ya 35 ya watu waliotangaza Kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM.
Rais Kikwete yuko Dodoma, imenifikia hii Ripoti ya kilichoendelea jana wakati wa Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili cha CCM.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname