Msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2015-2016 maaufu kama EPL unatarajia kuanza
kutimua vumbi mwezi Agosti 8 mwaka huu kwa vilabu vyote 20 ambavyo vinashiriki ligi hiyo kukipiga kwenye siku ya kwanza ya ufunguzi wa ligi hiyo ambapo klabu ya Chelsea waliibuka mabingwa wa msimu uliopita wa 2014-2015.
Ratiba ya msimu mzima wa EPL 2015-2016
August 8
Bournemouth v Aston Villa
Arsenal v West Ham United
No comments:
Post a Comment