17 July 2015

JOYCE KIRIA ATOA KAULI KUHUSU KUKAMATWA KWA BLOGGER MANGE KIMAMBI


‪#TAHADHARI‬! Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi, Tanzania Human Rights Defenders, Tawla, Wlac, Legal Human Right Center, Wildaf, Tume ya Haki za Binadam, Tamwa, Tgnp, Wananzania wote wapenda Maendeleo ya Halali, msaidieni huyu Mwanaharakati aliyethubutu Kujitosa mithili ya Swala katikati ya msitu ulojaa Simba wenye njaa, Mpiganaji wa kweli aliyejaaliwa Kipawa cha kusema bila kumumunya, ambae amejitokeza kupigania  
  

1 comment:

  1. Cyberbully ni serious issue sio ya kufanyia mzaha Mange ni Cyberbully aliekithiri ameumiza kisaikolojia watu wengi sana kupitia kurasa zake za social media nawapongeza vyombo vya sheria kwa kuchukua hatua ya kumuadhibu iwe fundisho kwa wanahabari wengine na nyie mnaopotosha habari kuwa ni kwa sababu ya harakati za madawa ya kulevya muache ujinga huo kosa liko pale pale Mange ni cybebully hatua kali ichukuliwe dhidi yake

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname