WAANDISHI WETU
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo ambayo yaliwatibua Waislam, Ijumaa lina ishu nzima.
Ilikuwa nyumbani kwake
Aunt alifanya tukio hilo hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar kisha kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki ambapo mbali na kuombewa dua na maustadhi, pia aliwafuturisha Waislam waliokuwa kwenye mfungo.
Licha ya kitendo hicho kilichodaiwa kuteketeza milioni kadhaa za fedha kupongezwa na wengi, katika hali ya kushangaza kuna mambo ambayo ilibainika yalikwenda kinyume na taratibu za dini ya Kiislam.
BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE
BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment