20 July 2015

Audio: Shilole na Nuhu Mziwanda wameongea haya juu ya kuachana kwao walipo hojiwa na Gossip Cop kwenye XXL



Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwa Gossip Cop wa XXL ya Clouds FM.

Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana kwa.

Kwake Nuhu naye ameweka wazi kuwa zilipendwa na kusema wameachana kwa wema lakini anashangaa kuona Shilole akileta maneno mengi zaidi.

Wasikilize hapa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname