03 July 2015

DIAMOND PLATINUMS AKIRI KUMPENDA OMOTOLA

King wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde, Ijumaa lina stori kamili.
Kwa mujibu wa chanzo kilichoambatana na Diamond katika ziara ya kimuziki iitwayo ‘Nana Tour’ nchini humo, staa huyo

ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mjasiamali maarufu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amekuwa akiumizwa na penzi la Omotola kitambo sana lakini hakuwahi kuzungumza katika vyombo vya habari.
 
Staa wa Nollywood nchini Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde ‘Omotola’. 

BONYEZA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname