DIAMOND PLATINUMS AFUNGUKA MAZITO KUHUSU DAVIDO PAMOJA NA UJIO WA MTOTO WAKE
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine
No comments:
Post a Comment