10 May 2015

HATIMAYE MKUBWA FELA AWACHANA LIVE KILIMUSIC AWARDS...CHEKI ALIVYO FUNGUKA

 https://igcdn-photos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xap1/t51.2885-15/11142309_1382849805373175_362018475_n.jpg

Asante singida wadau tumethamini mapokezi yenu kwa wanetu ya moto. Kunawatu marafiki wamebisha kwenye academic ya TUZO kwamba vijana awapigi live sijui live wanatumia vyombo gani sijui ila MUNGU akisema time NI time ila kwenye dunia ukipewa mamuzi kuwa fear kwa chochote tusijifanye MUNGU watu alafu chukulieni tangu nilipoingia kwenye usimamizi wa tasnia hii 1999 nimebuni vingapi nimefanya mangapi wasanii wangu ninao wasimamia awajai kupata TUZO ila mie najua mnataka niruzi hope mie bado nasonga ila nawakumbusha sifanyi mziki eti kisa TUZO nafanya ILI kupunguza makali ya maisha mtaani kwa vijana wa kitanzania wenzangu ila kuna siku naamini ntaonekana mbora kwa imani yangu INSHAALLAH

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname