Leo
July 18 ndio Tuzo za MTV MAMA 2015 zinatoka huko South Africa Darban na
kutoka Nyumbani hapa Tanzania Tunawasanii wawili ambao wameingia kwenye
Tuzo hizo, Vanessa Mdee pamoja na Diamond Platnumz, na Taarifa
nilizopata no Mwamba Diamond atapanda kupaform itakapofika SAA tank
kamili kwa SAA za Afrika Mashariki,
Endelea kutembelea HZB tutakupa Taarifa zote za Kinachoendelea katika Tuzo hizo.
No comments:
Post a Comment