Mamia
ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu
Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao
kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye
Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.
No comments:
Post a Comment