Muimbaji mkubwa wa Nigeria, D’Banj amemlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya naye collabo.
Kokomaster
amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na kukubaliana
kufanya collabo lakini amekuwa akimpiga chenga mpaka sasa.
Star
huyo ambaye aliibuka na tuzo ya ‘MAMA Evolution’ katika MTV MAMA 2015,
ameongeza kuwa kabla mwaka huu haujaisha anaamini collabo hiyo itakuwa
tayari imefanyika.
Diamond ametoa sababu za kuchelewa kufanya collabo na D’Banj.
No comments:
Post a Comment