11 July 2015

BREAKING NEWZZZ.....TAZAMA MKUTANO WA CCM UNAO ENDELEA DODOMA MDA HUU LIVE HAPA


CCM LIVE
Najua wapo ambao wako mahali ambapo hawezi kusikiliza TV wala kuangalia Radio ili kujua kinachoendelea Makao Makuu ya CCM Dodoma sasahivi, kimefanywa hiki kitu rahisi kabisa ili kama una simu yako, au kifaa chochote kinachotumia Internet unapata matangazo yote LIVE kutoka Dodoma muda wote kuanzia sasa.
Kila kitu kinachoendelea utakipata LIVE kwenye link hii mtu wangu >>> http://livestream.com/CCM/Uchaguzi2015

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname