11 July 2015

DODOMA HALI TETE... TEAM LOWASA WAWASHA MOTO, WAANDAMANA KUELEKEA WHITE HOUSE, KIKOSI CHA USALAMA CHATAWALA



Wananchi ambao ni Team Lowasa wakipaza sauti yao....

Baadhi ya wanannchi wakiwa sehemu ya Nyerere Square  wakishuhudia timbwili kati ya polisi na Team Lowasa ambao hawajakubaliana na matokea ya kamati kuu




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname