Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa @twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA.
“Nashukuru
UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama
vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi“ – @willibrordslaa
Nashukuru
UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi
imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi
No comments:
Post a Comment