Hata siku Haijaisha toka Diamond Platnumz Apate Tuzo ya MTV Mama, Mchana
wa leo Ametibua Mashabiki wake Baada ya Kupost Video ya Mpenzi wake wa
Zamani Joketi Akicheza Moja ya Nyimbo zake huku akiandika caption ya
Maneno haya 'Mbona Bado, Mtanyooka tu"
Video Hiyo inasemekana ilirekodiwa na Bikira wa Kisukuma Aka Seth miezi
sita iliyopita na leo Diamond kaipost kama Dongo kwa Jokate ambae siku
za karibuni ameonyesha Kumsupport Ali Kiba...
Seth Ameingia Mtandaoni na Kuandika Haya:
Bikira_wa_kisukuma - IAM DEEPLY SORRY!Kama rafiki yako,sikujua
yatakuja kuwa hivi...Tulirekodi Video hii tukiwa tunaenjoy NEWS CAFE
zaidi ya MIEZI 6 iliyopita na haikuwa na madhara na nilipenda ulipopigwa
wimbo huu na wewe ukaanza kuucheza and I liked it kwamba u still
support ur Ex Music na sio maadui..A good thing!
Leo imeleta matatizo na kukusababishia maumivu ya moyo...Haikuwa dhamira
yangu na Unajua na hata tulipoongea tulicheka na kufurahi na
tulitaniana kuhusu Video ile.. I hope Diamond hakuwa na nia mbaya kiivyo
kuiweka kwa sababu inaonyesha ulikuwa unacheza wimbo wake which means u
love his music na unamsapoti...Pengine Diamond alipaswa kutumia maneno
mazuri zaidi kuhusu Video ile instead of what he wrote kwa sababu
imeonekana kama ni uchonganishi wakati bottom line haiko hivyo... Again
JOKATE mpenzi,Iam sorry!
USHAURI WANGU KWA DIAMOND:
Jaribu kuepuka Misunderstanding zisizo za lazima,haikuwa na sababu
kulikoroga kiasi hiki especially kwa muda huu ambao tulipaswa kama
Watanzania kushangilia Ushindi wako..This was very Unnecessary
especially kwa muda huu ambao Mashabiki waliokuwa wamegawanyika wameanza
kurudi pamoja kama WATANZANIA...Ulipaswa kutumia moment hii kama
GUNDI...From my heart IAM DEEPLY SORRY!
No comments:
Post a Comment