Historia imejirudia tena mtu wangu, Diamond Platnumz jana katangazwa Mshindi wa Tuzo moja ya MTV MAMA 2015 Category ya Best Live Act, hajachelewa kurudisha Tuzo home.. tayari kaingia Dar es Salaam na hata kabla hajafika Uwanja wa Ndege kulikuwa na Kundi kubwa la watu waliofurika wakiimba muda wote na kushangilia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere International Airport.
November 2014 staa wa Muziki Tanzania, Diamond Platnumz alitua Dar mchana kabisa akiwa na Tuzo zake tatu mkononi kutoka South Africa ambako alishinda Tuzo za Channel O... Mapokezi yalikuwa makubwa sana kwenye mitaa ya Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment