25 June 2015

WAJUE MASTAA 8 WA KIKE BONGO WALIOJIFUNGUA MWAKA HUU 2015

Ni jambo la kufurahisha kutoka kwa baadhi ya mastaa wa kike hapa Tanzania ambao wameamua kujichukulia maamuzi ya kupata kopi zao mapema 2015 kwa kujifungua watoto, chanzo chetu kimebain idadi yao miezi michache tangu tuanze mwaka 2015.
Katika listi ya haraka tumebaini kuwa miongoni kati ya wasanii waliojifungua 2015 miezi kadha iliyopita ni pamoja na Zamaradi Mketema, Snura Mush, Hamisa Mobeto, Mboni Masimba, Aunt Ezekiel, Flara Mvungi, Flora Mbasha nk.
Hongereni kwa maamuzi yenu mazuri ya kutuletea vijana ambao tunategemea nawao waje kuwa mastaa hapo baadaye kama ninyi mlivyo na zaidi, pia hongera na kwako shabiki wa unayependa kutembelea tovuti hii!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname