Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
ANAJULIKANA
kwa jina la Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, alianza kupata umaarufu kupitia
fani ya urembo lakini kwa sasa sauti yake kusikika kwenye Bongo Fleva na
kazi zake za urembo ndizo zinamfanya asomeke kwenye vyombo vya habari.
No comments:
Post a Comment