25 June 2015

HII NDO SABABU YA ALLY KIBA KUTIMULIWA KWENYE NYUMBA YA MPENZI WAKE!!

















Licha ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.

Kwa  mujibu  wa gazeti  la Risasi, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi nchini Singapore, aliamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kuwa, kwa sasa Kiba anatoka na Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo "Kidoti" huku Kiba mwenyewe akikataa madai hayo.

"Ali (Kiba) ametimuliwa kule Kunduchi-Beach kwenye ile nyumba aliyowekwa na yule demu mwenye fedha zake na ndiye aliyekuwa akimgharamia kila kitu.

"Aliyemponza ni yule Kidoti, Jokate Mwegelo. Jokate amekuwa akimposti Kiba kwenye mitandao ya kijamii, ndipo mwanadada huyo alipoona akachukia na kumuona Kiba ameshindwa kuthamini fadhila zake," kilidai chanzo cha  gazeti  hilo.

Sasa hivi amerudi kwa mama yake,..KWAMUENDELEZO WA HABARI HII BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname