25 June 2015

JOKATE KIDOTI AOGA MVUA YA MATUSI YA NGUONI...


Mwanamitindo na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti.
MWANAMITINDO na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongeza msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname