27 May 2015

WEMA SEPETU NI MUIGIZAJI ANAEPENDWA ZAIDI


Huu ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwa Tuzo za watu, ambapo kwa mwaka huu zilifanyika usiku wa May 22 pale Hyatt Regency Hotel... Wema Sepetu ameibuka na tuzo ya Muigizaji wa Kike Anayependwa, Picha Ya Bestizzo inakukutanisha na picha za Wema pamoja na Team yake ya Endless Fame lakini kingine cha ziada ni kutoka FastJet ambao wamempa nafasi Wema Sepetu ya kusafiri nchi yoyote ambapo Ndege ya FastJet inafika...
 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname