27 May 2015

LULU ARUDI INSTAGRAM KWA KISHINDO ..ATUPIA PICHA HIZI

Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizimpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname