Week
end hii iliyopita Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan wamekuwa
busy sana kumspoti Ali Kiba na Kumpromote kwenye page zao za Instagram
kitu ambacho si cha kawaida na kimechukuliwa kuwa wawili hao wamepanga
kufanya hivyo kumuumiza Diamond na Zari ...Wengi wamehoji iweje Mganda
Huyo aliyekuwa mume wa Zari ghafla tu aanze kushabikia Bongo Flava na
huku Wema nae Akiwa Busy kuposti Promotion za Kuwaambia watu wampigie
kura Ali Kiba asimu wa Diamond?...Je Wameambizana? Je nini Kina endelea
Kati yao Kwa Siri??
No comments:
Post a Comment