12 May 2015

BAADA YA KUPIGWA CHUPA, KAJALA ASEMA MAISHA YANAENDELEA

Kajala Masanja akiwa na bandeji kichwani baada ya kupigwa chupa.
STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja, kupitia akaunti yake ya Instagram hivi punde amesema maisha yanaendelea ikiwa ni siku mbili baada ya kupigwa

chupa na mtu asiyemfahamu usiku wa kuamkia Jumatatu akiwa klabu wakati alipokwenda katika shoo ya kumchangia mke wa Mabeste, Maisha Club.

SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname