13 May 2015

WEMA, KAJALA TENA! KAJALA APIGWA CHUPA, WEMA AHARIBU SHUGHULI

Wema Sepetu akiwa kwenye gari.

MAJANGA! Wasanii wawili mahasimu katika tasnia ya filamu, Kajala Masanja na Wema Sepetu ‘Madam’ wametengeneza tena vichwa vya habari baada ya kukutana ndani ya klabu ya usiku ya Maisha iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzua minong’ono miongoni mwa wadau wengi wa burudani, Risasi Mchanganyiko linakupa hatua kwa hatua.


Msanii wa filamu Bongo,Kajala Masanja akifurahia jambo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname