26 October 2014

ANGALIA PICHA RICK ROSS ANAVYOFANANA KWA SASA



Boss wa MMG Rick Ross yuko kwenye programu ya kupunguza mwili, na picha zake mpya alizoshare Instagram hivi karibuni zimeonesha mabadiliko makubwa ya mwili wake tofauti na alivyozoeleka. Kwa mujibu wa ripoti Rozay amefanikiwa kupungua zaidi ya Kg 45. 


April mwaka huu rapper huyo aliiambia 93.9 WKYS FM kuwa muda umefika wa yeye kupungua mwili kidogo japo hana idadi kamili ya uzito anaota kufikia. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname