09 March 2015

DEMU WA MANYIKA' KWA RAHA ZAKE JANA TAIFA SIMBA IKIITAFUNA YANGA SC



 
Binti huyu,Naima Salum amekuwa hakosekani katika mechi za Simba SC siku za karibuni akiwa amevalia vazi la wekundu wa Msimbaz siku zote ambavyo kamera Bin Zubeiy ilimnasa jana Uwanja wa Taifa,Dar Es Salaam Timu yake ikiichapa Yanga SC.Binti huyo inadaiwa yupo katika mahusiano ya kimapenzi na kipa wa Simba SCPeter Manyika

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname