13 May 2015

MCHEZAJI WA KIUNGO PSG AKIRI KUWA MWANAMKE..ACHEZA MPAKA KOMBE LA DUNIA BILA KUJULIKANA..MSHUHUDIE HAPA

UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG), Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke.
Hiyo ni kafsha mpya ambayo italisumbua soka la Ufaransa. Kwa mujibu wa mkutano wa waandishi wa habari uliofanyikajijini hapa hivi karibuni kwenye kambi ya des Loges, Marco Verratti aliweka wazi kuwa yeye ni mwanamke.
Jina lake kamili ni Marta, alitaka kuendelea kuificha siri hiyo akiwa na dhumuni la kutotaka kuhukumiwa kutokana na uwezo wake uwanjani ukilinganisha na jinsi yake:.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname