14 May 2015

Wasanii watatu waliojitoa Cash Money ndani ya miezi sita.

bow wow
Baada ya Omarion na rapa Busta Rhymes kujitoa Cash Money records, Jumamosi ya May 9 2015 rapa/mtangazaji/ mwigizaji Bow Wow ametumia kurasa yake ya facebook kufahamisha mashabiki kuwa amejitoa rasmi Cash Money baada ya miaka mitano na lebel hio na kutoa album moja tu ambayo ni ‘Underrated’.
Bow wow amerudi kufanya kazi na waliomtoa kwenye muziki ambao Jermain Dupri na Snoop Dogg.
Hii ni video ya Bow Wow akielezea sababu za kujitoa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname