14 May 2015

UNYAMA MKUBWA HEBU ANGALIA MWANAUME ALIVYOMUUA MKE HII LEO

Na Paul Chengula
MWANAMKE mmoja ajulikana kwa jina la Mery Daniely, Mkazi wa mbagala jijini Dar es salaam,ameelezea jinsi alivyo kubwa na mkasa wa kipigo kutoka kwa mume wake ambae hujihusisha udereva wa mabasi makubwa, 
Mwanamke huyo aliiambia CHENGULA NEWZ kuwa mume huyo amekuwa akimuhisi kuwa yeye ni muhuni kwa kuchepuka wakati akiwa safarini jambo ambalo kwake yeye hajawahi kulifanya akiwa kama mwanandoa,
Sikuchache mbele mume huyo alirudi nyumbani na kumkuta mkewe hayupo zaidi ya saa moja ndipo alipo hisi kuwa mkewe amekwenda kuchepuka,mume huyo aliondoka na kurejea jion na kumkuta mke wake akiwa ameketi akimsubiri ili wale chakula cha usiku pamoja ndipo mume huyo akaanza kuibua mada hiyo 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname