28 May 2015

PICHA YA AUNT EZEKIEL BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Msanii wa Bongo Aunt Ezekel kwa mara ya Kwanza Ameonekana hadharani tangu alipojifungua.Aunt ameonekena akiongozana na Mpenzi wake Iyobo akiwa Amembeba Mtoto hao.Wawili hao walibarikiwa Kupata Mtoto siku za
Karibuni na hawakuwai kuonakana Mpaka hii leo alipokutwa wakiwa Pamoja   




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname