Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’.
Akizungumza
katika ibada maalum hivi karibuni kanisani kwake Ubungo Kibangu jijini
Dar,
Lusekelo alisema utapeli huo aliufanya sehemu mbalimbali ikiwemo
mkoani Dodoma kwa kuhusisha sangoma hao ambapo walikuwa wakimtaka mteja
kuwapatia pesa huku wakimuelekeza mahali madini hayo yanapopatikana.
No comments:
Post a Comment