21 May 2015

GOSSIP YASEMEKANA HUYU DEMU PIA NI DEMU WA DIAMOND THE PLATNUMZ


haya ubuyu kutoka instagram ya mmoja wa shabiki wa wema sepetu but habari hii haijathibitishwa nanukuu umbea kutoka kwa mtaa wa pili jamani hivi ni kweli au macho yang tu? mtoto twahida nusi mzenji na mwarabu hahaha halafu mbunge wa maji machafu kwa
wanawake weupe huyu sijuwi anatatizo.nguvu za bwana zitangulie isiwe kweli jamanie mwenzenu ana mimba kubwa hivyooo.point ya kwanza siku hizi ladymadonna amekuwa mpole sana sio kawaida yake mashuzi yote yamepunguwa halafu ameacha 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname