27 May 2015

MICHEZO HATARI DUNIANI PICHA ZINATISHA

Hii ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa anapata shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta kanafasi kadogo ili kufanya hivyo.
Ni alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao


BONYEZA KUONA PICHA NA VIDEO YA MICHEZO HII 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname