15 May 2015

LIVE: AUNT EZEKIEL, KAJALA WAMSENG’ENYA WEMA SEPETU!

Mastaa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni kwenye Bustani za Ndoto Polepole zilizopo Bagamoyo, ambapo mastaa kibao walihudhuria sherehe ya Baby Shower ya Aunt, iliyokuwa imesheheni vituko kibao huku gumzo likiwa ni kutokuwepo kwa Wema.
Awali paparazi wetu aliwashuhudia wawili haowakimzungumzia Wema tena huku watu wengine wakisikia, kubwa likiwa kumshangaa kwa namna anavyotaka kila anayekuwa rafiki yake, awe adui wa maadui zake.Mjadala huo ulikuwa mkubwa, ambapo Kajala kuna wakati alimuuliza Aunt sababu ya Wema kutokuwepo eneo hilo ndipo alipompa mkasa mzima. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname