28 May 2015

Khloe Kardashia alivyokera watu instagram kwa picha hii akiwa Dubai.

kl
Staa wa kipindi cha Keeping up with the Kardashian ‘Khloe Kardashian’ amekera waumini wa dini ya Kiislamu kwa kupiga picha akiwa amevalia Niqab, vazi ambalo huvaliwa na wanawake ilikuficha sura.
Khloe Kardashian aliweka picha hio aliyopiga alivyokuwa Dubai na familia yake na ujumbe uliosema “Habibi Love”
Watalii wanaotembelea Dubai hawaruhusiwi kuvaa hivyo au kufuata tamaduni hizo, comment moja ilisema “Women getting killed and beaten up for wearing the niqab, but you keep pretending it’s a fashion accessory, the disrespect,”
lov

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname