16 May 2015

Dunia na Matukio angalia hapa ubunifu mpya kwenye majeneza haya

Sio kitu cha kawaida eti mtu kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili ya mazishi yake akifariki.. lakini kuna stori ambazo zimekuwa zikiandikwa kuhusu baadhi ya watu kujichagulia kabisa, na kuna moja ilitokea Kenya wiki moja iliyopita ambapo mzee alijinunulia jeneza miaka mitabo iliyopita, alipofariki walimzika nalo ikawa story kubwa sana,
gar
Kuna wataalamu Uingereza nao wameamua kufanya ubunifu wa aina hii ya majeneza ambayo kwa kuyaangalia yanavutia.
gar2
Kampuni ya Halliday Funeral Suppliers Ltd ni wasambazaji wa majeneza tangu mwaka 1979 na sasa wamekuja na staili mpya baada ya kubuni aina mbalimbali za majeneza.
gar3
Kampuni hii ina soko kubwa sana la huduma hii, wana wastani wa kuuza majeneza mpaka 300,000 kwa mwaka.
gar4ndege
cup
Coffins
Richard-Halliday
Richard, Mkurugenzi wa Kampuni ya Halliday.. amesema lengo lao ni kumhudumia kila mteja na kile atakachovutiwa nacho. Mteja atapambiwa picha yoyote anayotaka iwe kwenye jeneza lake

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname