15 May 2015

CHEKI JUMBA LA KIFAHARI JAY Z NA BEYONCE ,PICHA ZIANGALIE HAPA

Baada ya kutajwa na jarida la Forbes kuwa miongoni mwa wasanii wa hiphop wenye mali na matajiri zaidi Jayz na mke wake Beyonce wamehamia kwenye jumba la kifahari lenye thamani ya
pauni milioni 2.6. Jumba hilo lipo New Orleans Garden, Marekani. Nyumba inavyumba 22.
Jay Z yupo kwenye orodha hio ya Forbes akishikilia namba tatu chini ya Diddy na Dr Dre kwa kuwa na ujaririwa dola milioni 500.






No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname