16 April 2015

ZARI THE BIG BOSS AMETOA MIMBA ZANGU 2 NA HIYO ITAKUWA....

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady.
Hasira ya kibuti? Ubuyu kutoka nyumba ya jirani, Kampala nchini Uganda unaeleza kuwa mwanaume Farouk Sempala aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ameibuka na madai mazito kuwa mwanamama huyo alichoropoa mimba zake zaidi ya mbili.
TUJIUNGE UGANDA
Katika mahojiano maalum na Gazeti la Red Pepper la nchini humo hivi karibuni, Sempala alifunguka kuwa alishtushwa na habari kuwa mwanadada huyo alikutana na Diamond kwenye ndege na kuanza projekti ambayo matokeo yake ni mimba.

BOFYA KUSOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname