19 April 2015

WEMA NA PENNY WATANGAZA VITA DHIDI YA DIAMOND NA ZARI!!

 
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza
wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zarinah Hassan zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya bonge la project.
BOFYA KUSOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname